Uzuri by Buki
"Uzuri" is Tanzanian song released on 10 April 2025 in the official channel of the record label - "Buki Tz". Discover exclusive information about "Uzuri". Explore Uzuri lyrics, translations, and song facts. Earnings and Net Worth accumulated by sponsorships and other sources according to information found in the internet. How many times the Tanzanian song appeared in music charts compiled by Popnable? "Uzuri " is well-known music video that took placements in popular top charts, such as Top 100 Tanzania Music Chart , Top 40 Tanzanian Songs Chart, and more.
[Edit Photo]
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Uzuri" Facts
"Uzuri" has reached
41.4K total views,
821 likes,
and dislikes on YouTube.
The song has been submitted on
10/04/2025
and spent 1 weeks on the charts.
The original name of the music video "Uzuri" is "BUKI - UZURI (OFFICIAL LYRICS VIDEO)".
"Uzuri" has been published on Youtube at 10/04/2025 00:00:06
"Uzuri" Lyrics, Composers, Record Label
#Uzuri #lovesong #hitsong
Produced by Morebeatz
Mixing & Mastering: LizerClassic
Video: Vinci One
For Bookings:
Contacts -- bukimanagement@
mailtevinci@
Connect With Buki On:
Instagram:
Tiktok:
Listen on other Platforms:
Spotify:
Apple Music:
Boomplay:
Audiomack:
Lyrics:
Lalalala lalalaaah
Oooh oooh lalalala lalalaah
Nimeruhusu macho yangu
Yakutazame wewe tu
Naruhusu masikio
Yakusikie wewe tu
Nimeruhusu Akili yangu
Ikuwazie wewe tu
Tatizo uzuri wangu
Wanitamani wengi tu
Yalaiti ungejua
Wangapi wananiomba number
Shababu Nakupenda shana
Timu timu nawakataa
I wish ungejua
La la laaa
Wangapi wananitongoza
La La laaah
Sababu Nakupenda shana
Timutimu nawakataa
Ooooh wo wooh
Tatizo nimezidi uzuri
Ndomana unateswa na wivu
Ila mchuchu usijali
Handsome huyu ni wako tu
Tatizo nimezidi uzuri
Lapapopapooo
La La La laaah
Ila mchuchu usijali
Pisi kali huyu ni wako tu
Ni wako tu
Onokuchi (onokuchi)
ekwueme (ekwueme)
OMG (OMG)
bless my love
Wenye mambo yakidigitali
Walondani kwenye magari
Wasitututese wa vibatali
Bby ooh my love
Nimekuletea Dera
Nimekosa Abaya
Nitaleta nikipata hela
Usijisikie vibaya
I wish ungejua
La La laah
Wangapi wananitongoza
La La lah
Sababu Nakupenda shana
Timu timu nawakataa
Tatizo nimezidi uzuri
Ndomana unateswa na wivu
Ila mchuchu usijali
Handsome huyu ni wako tu
Tatizo nimezidi uzuri
Ndo mana unateswa na wivu
Ila mchuchu usijali pisi kali huyu ni wako tu
Ni wako tu