POPNABLE
tanzania
[Edit Photo]
|
Download New Songs
Listen & stream |
|
Katika siku yangu ya special katika maisha yangu sina budi kumshukuru Mungu kwa uhai wangu , kipaji changu na kutupatia kiongozi kama Mama wetu , Raisi wetu MHESHIMIWA MAMA
;Kiongozi mwenye maona makubwa na mwenye uchungu wa maendeleo katika nchi
;
Kwa kutumia kipaji changu nilichojaaaliwa na MUNGU nakushukuru kwa wimbo huu na naazidi kukuombea kwa MUNGU wetu
;AHSANTE SAMA MAMA ????
#Kaziiendelee Mama Yetu
Na kwakuwa leo ni siku yangu Natumaini Utanifatilia Hata Kwenye Runinga