Malume by Chidi Beenz , Q Chief , Rapcha
"Malume" is Tanzanian song released on 27 October 2023 in the official channel of the record label - "QChief". Discover exclusive information about "Malume". Explore Malume lyrics, translations, and song facts. Earnings and Net Worth accumulated by sponsorships and other sources according to information found in the internet. How many times the Tanzanian song appeared in music charts compiled by Popnable? "Malume " is well-known music video that took placements in popular top charts, such as Top 100 Tanzania Music Chart , Top 40 Tanzanian Songs Chart, and more.
[Edit Photo]
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Malume" Facts
"Malume" has reached
90.4K total views,
2.5K likes,
and dislikes on YouTube.
The song has been submitted on
27/10/2023
and spent 2 weeks on the charts.
The original name of the music video "Malume" is "Q CHIEF FT. RAPCHA & CHIDI BEENZ - MALUME".
"Malume" has been published on Youtube at 25/10/2023 17:01:47
"Malume" Lyrics, Composers, Record Label
Malume Lyrics.
[Chorus: Q-Chief]
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Malume Malume Malume ee eeeh aah Aaah aaah
Aaah aaahh
Aaaah aaah
Aah aaah
[Verse 1: Rapcha]
Malume acheni nijitume
Mishe niziforce pesa nizichume
Nizipate noti home nizitume
Ukipenda slope we sio mwanaume (ah ah) Force macho kwenye pochi
Ukiendekeza jealous upo kwenye loss Jasho livujie kazi ngono ina mikosi
Na sio tu ma’filter unaonekana shosti
Ukizaliwa mwanaume unakula jasho lako maisha yote Pambana maana Mungu wetu sote
Umbali niliotoka nimekanyaga kilometer zote
Sa utauliza kiatu kipi maana nshamaliza vyote? Ukizaliwa mwanaume kukomaa sheria
Bila majukumu sio kidume so ujitume usiikimbie familia Huwa nachoka hadi sometime nasinzia
Macho yangu ni mekundu ila vision ni clear
Na siwezi fear
[Chorus: Q-Chief]
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Malume Malume Malume ee eeeh aah Aaah aaah
Aaah aaahh
Aaaah aaah
Aah aaah
[Verse 2: Chidi Benz]
Naapa kwa msalaba
Naapa kwa ukahaba
Naapa kwa ujambazi, naapa kwa umalaya
Naapa kwa machungu ya kuchomwa na fire
Naapa kwa machungu game siwezi retire
Naapa kwa titi la demu wangu, yes
Naapa kwa titi la mama yangu, yes
Naapa kwa dini Islam naitukuza
Naapa kwa jina la Mungu wangu siwezi puuza
Naapa kwa jina la ndugu yangu Murder
Naapa kwa jina la shida bila msaada
Nishashika hela nyingi kuliko hata dingi
Juzi wakanipa ** bila ya shilingi
Mama yangu anajua jina langu msingi
Mwanaume nishacheza kete mpaka king
Nishapoteza na nakitafuta, na nishapoteza na nakitafuta rrraaah
[Chorus: Q-Chief]
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Ee Malume ee Malume ee Malume Ee Malume Malume
Malume Malume Malume ee eeeh aah Aaah aaah
Aaah aaahh
Aaaah aaah
Aah aaah
Song : Malume
Artist : Q Chief
;Rapcha & Chidi Beenz
Producer : Bin laden
Mixing Engineer : Charles Makoye
Composer : Charles Makoye
Author of Lyrics : Aboubakary Shaban Katwira, Cosmas Paul Mfoy & Rashid Shaban Makwiro
Record Label : Bongo Records Ltd
Year Recorded : 2023
Year of Release : 2023